SIMBA KUONDOKA LEO
.
Kikosi cha Simba kitaondoka leo saa mbili usiku kuelekea Morocco 🇲🇦 tayari kwa mchezo wa Marudiano wa Robo Fainali dhidi ya Waydad utakaopigwa Ijumaa saa 8:00 usiku.
.
Ahmed Amesema msafara utagawanyika makundi mawili, Kundi la kwanza litaondoka leo na litakuwa na watu 29 wachezaji na benchi la Ufundi wakati la pili litaondoka keshi likiwa na watu 20.

Comments
Post a Comment