Msanii roma amesema ataachia wimbo wake huu mda mfupi ujao unao kwenda kwa jina la NIPENI MAUA YANGU endelea kutembelea website yetu pendwa tunakuwekea wimbo huo mda si mrefu,
. 24—HAKUNA mchezaji katika historia ya Ligi Kuu England ambaye ametoa asisti nyingi kwa mchezaji mwenzake mmoja zaidi ya asisti za mabao ambazo Harry Kane amempa Son Heung-min (24, sawa na asisti ambazo Frank Lampard alimtengea Didier Drogba).
Comments
Post a Comment