NAFASI YA SAKHO MTANZANIA KUIPAMBANIA
🚨 ROBERTINHO AMPITISHA HD
.
Jina la kwanza lililopitishwa na kocha wa Simba, Robertinho kusajiliwa pindi tu dirisha litakapofunguliwa ni winga wao wa zamani Hassan Dilunga ambaye anafanya mazoezi na timu hiyo, jambo lililomshawishi kocha kukubali kiwango chake.

Comments
Post a Comment