MAYELE KUIKOSA RIVERS UNITED ðŸ˜
Kuna uwezekano wa Fiston Mayele kuikosa rivers,
Hii ni baada ya majeruhi aliyo yapata kwenye mchezo wa Darby Simba na Yanga taree 16,
Alifanyiwa rafu na mzamilu kipindi cha pili hata hvyo bado hijawa official kama atacheza au lah .

Comments
Post a Comment