MABADILIKO YA KIKOSI SIMBA
.
π£
“Kutakuwa na mabadiliko ya kikosi, tunakwenda na tahadhari kubwa kwa kuwa wapinzani watakuja tofauti na walivyocheza hapa nchini, lazima tukubali tunatakiwa kwenda kwa umakini mkubwa. Maandalizi
yetu, yanaonyesha tunaweza kufanya mambo makubwa ugenini.
- Kocha Robertinho.

π₯π₯π₯
ReplyDeleteπ₯ π₯ π₯
Delete