KALIDOU KOULIBALY
.
🗣 “
Ni mzuri, mchezaji mwenye uzoefu. Watu wanasema tuna kikosi kikubwa sana, lakini hatuna wachezaji wengi wa kuziba nafasi na kikosi cha Ligi ya Mabingwa Ulaya ni tofauti na Ligi Kuu England. Ni pigo kubwa kwake na kwetu, lakini ni nafasi ya kupambana na kusonga mbele bila ya huduma yake, tunaamini atarejea haraka.” Kocha wa Chelsea, Frank Lampard akimzungumzia beki wake, Kalidou Koulibaly ambaye atakosekana kwenye mchezo wa marudiano wa Uefa dhidi ya Real Madrid.

Comments
Post a Comment