INONGA NI MWAMBA MKUBWA WA SIMBA SC
Simba sports club wamekuwa na mchezaji kutoka Drc Congo 🇨🇩 ambaye amekuwa mwiba mkali kwenye darby ya Kariakoo .
Analithibitisha hilo inonga kwenye uwanja
Na ukiachana hilo inonga amekuwa mchezaji ambaye analeta hamasa kubwa kwa wachezaji wenzake ili waendelee kuwa na moto wa kufanya vzuri mda wote
Simba wanampango wakuleta beki mwingne kutoka CONGO na hawana mpango wa kuachana na inonga varane
Comments
Post a Comment