INONGA BAKA AMESEMA HAYA
🎙
“Tumetoka kucheza na timu ambayo inaongoza msimamo wa ligi na tumepata matokeo ni kipimo kizuri tunaendelea kujifua na kujiweka imara kwa ajili ya Wydad tutaingia kwa kuwaheshimu lakini na sisi pia tuna kikosi kizuri ambacho kipo kwenye hali nzuri ya ushindani dakika 90 zitaamua ubora wa timu zote mbili lakini kwa upande wetu tunapambana kuhakikisha tunatumia vizuri uwanja wetu wa nyumbani,”
………..

Comments
Post a Comment