HAJJI AMELEFT KWENYE GROUP

 

Habari ambazo zimetufikia mda huu ni kwamba afisa habari wa Yanga amejiondoa kwenye group la wanahabri wa Yanga. 

Chanzo cha kujiondoa ni baada ya kuwasema waandishi wenzake kupitia Chanel yake ya YouTube  kwamba wasiwe wanaongea sana kabla ya match 

Lakini kama unafatilia hajji aliwahi kuongea maneno ambayo leo wenzake wanaongea yeye anayapinga nini maana yake 


Kaa hapa sisi tunaendelea kukuthamini na kukupa habari za moto zote za michezo 

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

PACHA HATARI