Hello,nakukaribisha kutazama habari za magezeti ya leo juma nne 25april2023, karibu jiunge nasi kila siku kupata habari za magazeti,michezo na nyinginezo;
. 24—HAKUNA mchezaji katika historia ya Ligi Kuu England ambaye ametoa asisti nyingi kwa mchezaji mwenzake mmoja zaidi ya asisti za mabao ambazo Harry Kane amempa Son Heung-min (24, sawa na asisti ambazo Frank Lampard alimtengea Didier Drogba).
Comments
Post a Comment