. 24—HAKUNA mchezaji katika historia ya Ligi Kuu England ambaye ametoa asisti nyingi kwa mchezaji mwenzake mmoja zaidi ya asisti za mabao ambazo Harry Kane amempa Son Heung-min (24, sawa na asisti ambazo Frank Lampard alimtengea Didier Drogba).
Karibu jiunge nasi kusoma habari kubwa za magazeti ya Tanzania leo jumatano November 15, 2023 katika kurasa za mbele na nyumba, kwa habari za michezo na burudani tembelea website yetu ETHANMEDIA
Comments
Post a Comment