CHAMA ANAKOSA MBADALA
Kama chama angekuw yuko sawa asilimia 70 wydad historia yao Ingekuwa imeisha na kungekuwa na mbadala leo chama angeenda nje ili simba wapate matokeo
Kiwango kidogo cha chama kimefanya simba kupata matokeo unayo yaona
Lakini simba hawapaswi kuwa waoga wakienda kule mashabiki hawachezi wanao cheza ni wachezaji 11 kila kitu kina wezekana

Comments
Post a Comment