CAMAVINGA
Wakala wa Eduardo Camavinga Barnett: "Anataka kuwa Real Madrid maisha yake yote. Hakutakuwa na matatizo na Real Madrid, tutakaa chini na nina uhakika tutafikia makubaliano”, aliiambia Goal. ⚪️🇫🇷
Wakala wa Camavinga Barnett: "Tetesi za kuhama Arsenal Januari? Hiyo ilikuwa takataka, ni kitu ambacho hakingetokea”. ⛔️ #AFC
"Hakuwahi kufikiria kuchezea timu nyingine na Real hawakumruhusu kuondoka. Yeye ndiye mustakabali wa Real Madrid."

Comments
Post a Comment