BENO KUCHUKUA NAFASI YA ALY SALIM

 

Kulingana na mazingira ya kule Casablanca na hali ya mashabiki simba wameona ni vema waanze na beno 

Mashabiki wa wydad wanatabia ya kukaa nyuma ya goal la mpinzani na kumpigia kelele goal kipa wa team pinzani hivyo simba imeona ni bora akamtumia beno sababu ya uzoefu alio nao 

Kila game inakuwaga na plan zake kwa hili simba wanaweza kufanikiwa kwa upande mwingne mbali na kuwa beno hajafaka match nyingi .



Comments

Popular posts from this blog

PACHA HATARI