TAIFA STARS WAMELOA NYUMBANI
TAIFA STARS WAMELOA NYUMBANI
Mchezo wa Marejeano kati ya Tanzania Dhida ya Uganda uliocheza Jana mida ya Saa mbili usiku KWA MKAPA,Tanzania Wajikuta kwenye Wakati Mgumu zaidi Baada ya kupoteza Mchezo kwa goli moja lililofungwa Dakika ya 91' ya Mchezo Huo
Goli lilifungwa na Mshambuliaji mdogo zaidi Rogers Mato (ana miaka 19 tu) na Kufuta matumaini ya watanzania kufuzu AFCON
Matumaini yanadidimia Zaidi tupo nafasi ya pili tukiwa na alama 4 Sawa sawa na za Uganda,idadi ya Magoli tuliofunga ni mawili sawa sawa na Uganda na tukiruhusu magoli manne sawa sawa na Uganda
Mechi zijazo zote ni Ngumu,mechi zilizo salia mbili moja ikiwa dhidi ya Niger na nyingine ngumu zaidi ni ile ya Ugenini dhidi ya Algeria
Swali linabaki je Tutafuzu????!
@ETHANMEDIA,Chanzo Cha habari kutoka,,,..
#DOLLARSTV
#DOLLARSUPDATES

Comments
Post a Comment