MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI AWATAJA HAWA WASANII KUTOKA TANZANIA
MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI AWATAJA HAWA WASANII KUTOKA TANZANIA
Hii ni List ya Miongoni Mwa wasanii kutoka Hapa kwetu Tanzania walio tajwa na Makamu wa Rais Marekani @kamalaharris
Hii ni ikiwa katika ziara yake katika Baadhi ya nchi za Afrika ikiwa Ghana,Zambia na J5 ya tarehe 29/03/2023 anatarajia kuwepo Hapata Tanzania
Makamu huyu wa Rais ametoa Spotify List yake Yenye Jumla ya Nyimbo 25
kwenye List hii Nyimbo kutoma tanzania zikiwa ni 9 Huku wasanii wakiwa ni 10
Marioo ameingia kwenye nyimbo nyingi zaidi zilizo tajwa
Ameipa jina la MY TRAVELS (SAFARI YANGU)
Wasanii walio tajwa kutoka Hapa Tanzania ni
1.Harmonize-Single Again
2.Zuchu-Utaniua
3.Alikiba-Mahaba
4.Jaymelody-Sawa
5.Mbosso-Shetani
6.Jux Ft Marioo-Nice kiss
7.Darassa-No body
8.Marioo ft Abbah-Lonenly
9.Platform & Marioo-Fall
Mziki wetu unasikilizwa mpaka na wakuu wa Nchii
@ETHANMEDIA, Chanzo kutoka...,
#DOLLARSTV
#DOLLARTVUPDATES








Comments
Post a Comment