Baada ya Simba(diamond platnam) kumtambulisha msanii mpya katika lebel yake ya WCB ,ZUCHU Mtoto wa malkia wa sauti nchini tanzania...Zuchu ni msanii ambaae ameimba cover mbalimbali kama vile Nadekewa.,maajabu na sikomi, pia tumemuona kwenye wimbo wa supper women ambao umefanya vizuri sanaa mwezi march mwaka huu na bado unafanya vizuri katika media mbalimbali,,,,,,.Leo nakusogezea ngoma yake mpya akiwa WCB inaitwa WANA
DOWNLOAD OFFICIAL VIDEO ZUCHU WANA Ethanmedia
DOWNLOAD OFFICIAL VIDEO ZUCHU WANA Ethanmedia

Comments
Post a Comment